Powered by OpenAIRE graph
Found an issue? Give us feedback
addClaim

Hifadhi ya Maswali ya Homa ya Virusi vya Damu: Maswali stahilifu ya kuelewa mienendo ya uambukizaji na uzoefu wa huduma

Viral haemorrhagic fevers question bank: Qualitative questions for understanding transmission dynamics and experiences of care
Authors: Ginger Johnson;

Hifadhi ya Maswali ya Homa ya Virusi vya Damu: Maswali stahilifu ya kuelewa mienendo ya uambukizaji na uzoefu wa huduma

Abstract

Homa ya damu ya virusi (VHFs) ni kundi la magonjwa makali yanayosababishwa na virusi vinavyoathiri viungo vingi vya mwili na kuharibu mfumo wa moyo. VHF inajumuisha ugonjwa wa virusi vya Ebola na ugonjwa wa virusi wa Marburg. Kuna tofauti kubwa katika jinsi VHF zinavyotambuliwa, jinsi zinavyoweza kusababisha magonjwa, usambazaji wao wa kijiografia, hifadhi zao zinazojulikana (yaani, wanyama au wadudu wanaoeneza ugonjwa huo) na upatikanaji wa chanjo au matibabu. Unapotumia Hifadhi hii ya Maswali kwa hali ya dharura mahususi ya afya ya umma kuhusiana na VHF iliyotambuliwa, zingatia vipengele hivi pamoja na uchanganuzi uliosasishwa wa muktadha wa nchi na maendeleo ya dalili za kiafya za ugonjwa kati ya watu walio hatarini. Maendeleo ya Hifadhi hii ya Maswali yametokana na zaidi ya miaka 10 ya utafiti wa kina wa sayansi ya jamii uliofanywa wakati wa milipuko ya VHF na dharura nyingine za afya ya umma zinazohusisha magonjwa ya kuambukiza. Mada nyingi zilizojumuishwa katika Hifadhi hii ya Maswali zitasanifu milipuko ya VHF ambapo maambukizi kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine yametambuliwa kuwa mchango mkuu wa mlipuko huo kuenea na ambapo uzoefu wa tiba kwa mgonjwa lazima ueleweke ili kuwa na majibu yanayokidhi hofu za wanajamii. Lazima maswali yabadilishwe kulingana na VHF mahususi, muktadha wa nchi na idadi ya watu waliohojiwa.

  • BIP!
    Impact byBIP!
    selected citations
    These citations are derived from selected sources.
    This is an alternative to the "Influence" indicator, which also reflects the overall/total impact of an article in the research community at large, based on the underlying citation network (diachronically).
    0
    popularity
    This indicator reflects the "current" impact/attention (the "hype") of an article in the research community at large, based on the underlying citation network.
    Average
    influence
    This indicator reflects the overall/total impact of an article in the research community at large, based on the underlying citation network (diachronically).
    Average
    impulse
    This indicator reflects the initial momentum of an article directly after its publication, based on the underlying citation network.
    Average
Powered by OpenAIRE graph
Found an issue? Give us feedback
selected citations
These citations are derived from selected sources.
This is an alternative to the "Influence" indicator, which also reflects the overall/total impact of an article in the research community at large, based on the underlying citation network (diachronically).
BIP!Citations provided by BIP!
popularity
This indicator reflects the "current" impact/attention (the "hype") of an article in the research community at large, based on the underlying citation network.
BIP!Popularity provided by BIP!
influence
This indicator reflects the overall/total impact of an article in the research community at large, based on the underlying citation network (diachronically).
BIP!Influence provided by BIP!
impulse
This indicator reflects the initial momentum of an article directly after its publication, based on the underlying citation network.
BIP!Impulse provided by BIP!
0
Average
Average
Average
Upload OA version
Are you the author of this publication? Upload your Open Access version to Zenodo!
It’s fast and easy, just two clicks!