Powered by OpenAIRE graph
Found an issue? Give us feedback
addClaim

This Research product is the result of merged Research products in OpenAIRE.

You have already added 0 works in your ORCID record related to the merged Research product.

Viambishi Nafsi katika Muundo wa Kitenzi cha Kikuria (E43) [Personal Pronouns in Kuria (E43) Verb Structure]

Authors: Mary Zacharia Charwi;

Viambishi Nafsi katika Muundo wa Kitenzi cha Kikuria (E43) [Personal Pronouns in Kuria (E43) Verb Structure]

Abstract

Ikisiri Viambishi nafsi ni miongoni mwa viambishi ambatizi ambavyo hupachikwa mwanzoni mwa vitenzi vya Kibantu (yaani kabla ya mzizi). Kazi kubwa ya viambishi nafsi ni kuleta upatanisho wa kisarufi. Tafiti nyingi zinaonesha kuwa viambishi vya uambatizi hutokea kabla ya mzizi wa kitenzi, tofauti na vile vya unyambulishaji vinavyobadili kategoria au maana vinavyotokea baada ya mzizi. Makala hii inachunguza nafasi ya viambishi nafsi katika kitenzi cha Kikuria (E43). Data iliyotumika ni ya maktabani, hasa kutoka kwenye chapisho la Charwi (2017) na kutoka maandiko mengine ya Kikuria. Nadharia iliyotumika ni Nadharia ya Uambatizi kama inavyoelezwa na Stump (2001), ambayo inafafanua kuwa kila neno linaloambikwa ndani ya sentensi linabeba seti ya sifa za kimofosintaksia. Makala hii imebaini kuwa viambishi hivi vinaweza kutokea kabla au baada ya mzizi wa kitenzi na havibadili kategoria au maana ya neno.

Related Organizations
  • BIP!
    Impact byBIP!
    citations
    This is an alternative to the "Influence" indicator, which also reflects the overall/total impact of an article in the research community at large, based on the underlying citation network (diachronically).
    0
    popularity
    This indicator reflects the "current" impact/attention (the "hype") of an article in the research community at large, based on the underlying citation network.
    Average
    influence
    This indicator reflects the overall/total impact of an article in the research community at large, based on the underlying citation network (diachronically).
    Average
    impulse
    This indicator reflects the initial momentum of an article directly after its publication, based on the underlying citation network.
    Average
Powered by OpenAIRE graph
Found an issue? Give us feedback
citations
This is an alternative to the "Influence" indicator, which also reflects the overall/total impact of an article in the research community at large, based on the underlying citation network (diachronically).
BIP!Citations provided by BIP!
popularity
This indicator reflects the "current" impact/attention (the "hype") of an article in the research community at large, based on the underlying citation network.
BIP!Popularity provided by BIP!
influence
This indicator reflects the overall/total impact of an article in the research community at large, based on the underlying citation network (diachronically).
BIP!Influence provided by BIP!
impulse
This indicator reflects the initial momentum of an article directly after its publication, based on the underlying citation network.
BIP!Impulse provided by BIP!
0
Average
Average
Average
Upload OA version
Are you the author? Do you have the OA version of this publication?