Mwili, nafsi na roho katika ugonjwa: mfano wa simulizi za ugonjwa (illness narratives)

Article Swahili OPEN
Schulz-Burgdorf, Ulrich;
(2012)
  • Subject: Swahili; Wortschatz; Medizin; Krankengeschichte; Heilung; Metapher | Swahili, Krankheitsgeschichten, Heilungspraktiken, Metapher, Vokabular | Swahili, illness narratives, healing practice, metaphor, vocabulary
    • ddc: ddc:496

Simulizi za ugonjwa zinatolewa na mgonjwa na mtu mmoja au wengi wanaoombwa naye wamsaidie wakashauriana hali ya maradhi. Kutambua ugonjwa ni kazi ya kawaida na siyo ya waganga au madaktari tu. Kama pengine, katika Afrika ya Mashariki wenyeji huwa na ujuzi wa kawaida juu... View more
Share - Bookmark