Uhalisia na uhalisiamazingaombwe: mshabaha kati ya Dunia yao na The tin drum

Article Swahili OPEN
Waliaula, Ken Walibora;
(2012)
  • Subject: Swahili; Außereuropäische Literatur; Magischer Realismus <Literatur> | Swahili, Literatur, Magischer Realismus, Realismus, Dunia Yao, Die Blechtrommel, Said Ahmed Mohamed, Günter Grass, Deutschsprachige Literatur | Swahili, literature, magic realism, realism, Dunia Yao, The tin drum, Said Ahmed Mohamed, Günter Grass, German literature
    • ddc: ddc:496

Je, kuna uhusiano gani kati ya Euphrase Kezilahabi wa Tanzania na Gabriel García Marquez wa Kolombia, au kati ya Kyallo Wadi Wamitila wa Kenya na Juan Rulfo wa Meksiko ama kati ya Günter Grass wa Ujerumani na Said Ahmed Mohamed wa Zanzibar? Waandishi hawa waliotengwa ki... View more
Share - Bookmark