Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?

Article Swahili OPEN
Indede, Florence;
(2012)
  • Subject: Swahili; Versdichtung; Gegenwart; Weiblichkeit <Motiv> | Swahili, Poesie, Gegenwart, Frau, Weiblichkeit <Motiv> | Swahili, contemporary poetry, woman, womanhood
    • ddc: ddc:496

Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. Ujenzi wa taswira zinazowasilisha mada nyeti za kijamii ni changamoto ya kiusanii inayoibua maswala tata. Ndiposa wasilisho hili linachunguza mjadala wa usawiri wa mwanam... View more
Share - Bookmark