Mazungumzo na Lutz Diegner juu ya riwaya ya Ziraili na Zirani

Article Swahili OPEN
Mkufya, William E.;
(2012)
  • Subject: Swahili; Außereuropäische Literatur; Humor; Religion | Swahili, Literatur, Ziraili na Zirani, Roman, Religion, Humor | Swahili, literature, Ziraili na Zirani, novel, religion, humor
    • ddc: ddc:496

William E. Mkufya aliyezaliwa mwaka 1953 wilayani Lushoto, Tanga, nchini Tanzania ni mmojawapo wa waandishi wakongwa wa riwaya ya Kiswahili. Hadi hii leo amechapisha riwaya nne. Aidha, ameandika vitabu kumi na viwili vya watoto na kutafsiri baadhi ya vitabu, kama vile r... View more
Share - Bookmark