publication . Article . 2012

Tamaduni na fasihi za kienyeji kwa lugha za kigeni

Shatry, Alwi M.;
Open Access Swahili
  • Published: 03 Dec 2012
Abstract
Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau kwa wepesi, iwapo tutazingatia mambo mawili: kwanza, lugha na matumizi yake ni chombo cha kujieleleza thamani tafauti zilizofungamana na maumbile ya kimila, fikira, maarifa, imani, adabu na utamaduni wa jamii yenyewe kwa jumla. Pili, matumizi ya lugha aghlabu husadifu kuwa ndio msingi wa kuendeleza na kukuza, na hata pia kubuni, uzushi mpya katika mirathi ya utamaduni, mila na khulka za kijamii. Kwa hivyo si rahisi kwa lugha kutengamana na taswira za jamii: utu, utamaduni, mila, mitindo na mengineo. Tungependa kuandaa madhumuni yetu ya kuonesha athari na hatari zi...
Subjects
free text keywords: Swahili; Außereuropäische Literatur; Kultur; Brauchtum; Gesellschaft; Sprache, Swahili, Kultur, Literatur, Bräuche, Sprache, Gesellschaft, Sprachdominanz, Swahili, culture, literature, language, society, language dominance, customs, ddc:496
Powered by OpenAIRE Open Research Graph
Any information missing or wrong?Report an Issue