Chachage Seithy L. Chachage: Makuadi wa soko huria (2002). Uchambuzi na uhakiki.

Article Swahili OPEN
Mbonde, John P.;
(2012)
  • Subject: Swahili; Außereuropäische Literatur | Swahili, Literatur, Chachage | Swahili, literature, Chachage
    • ddc: ddc:496

Chachage Seithy L. Chachage amepata kuandika riwaya nyingine tatu: Sudi ya Yohana (1980), Kivuli (1984) na Almasi za Bandia (1990). Riwaya yake ya nne Makuadi wa Soko Huria (2002) ni ya kihistoria na yenye upekee wa maudhui, muundo na mtindo. Vipengele hivi vinadhihiris... View more
Share - Bookmark