Vitendawili vya Kiswahili: usambamba wake na dhima yake katika jamii

Article Swahili OPEN
Ngonyani, Deo;
(2012)
  • Subject: Swahili; ; Rätsel; Sprechkunst; Gesellschaft | Swahili, Rätsel, Sprechkunst, Gesellschaft | Swahili, riddles, enigma, society
    • ddc: ddc:496

Vitendawili vya Kiswahili, kama vitendawili katika lugha nyingine za Kibantu, na kwa hakika katika lugha nyingine za Kiafrika, ni mafumbo ambayo hutolewa kama kauli au swali linalotaka jibu (Gowlett 1979; Harries 1971, 1976; Okpewho 1992). Vitendawili katika Kiswahili n... View more
Share - Bookmark