publication . Article . 2012

Sufii al-Busiri

Wa Mutiso, Kineene;
Open Access Swahili
  • Published: 14 Dec 2012
  • Country: Germany
Abstract
Katika makala hii nitazungumzia tarehe na kazi za al-Busiri mshairi wa kisufii maarufu katika fasihi ya kiislamu na ambaye baadhi ya kazi zake zimetarjumiwa kwa Kiswahili. Mojawapo ya kazi hizi ni Kasida ya Hamziyyah, ambayo ni maarufu sana hususa kwa Kiswahili cha zamani kiitwacho Kingozi. Kazi yake ya pili mashuhuri sana ni Kasida ya Burudai, kasida ambayo ndiyo maarufu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu. Mshairi huyu ingawa ni mashuhuri, ni mgeni sana kwa wasomi wengi wa fasihi ya Kiswahili.
Subjects
free text keywords: Swahili; Busiri; Muhammad Ibn-Said al-; Versdichtung; Sufismus, Swahili, al-Busiri, Poesie, Sufismus, Kasida ya Hamziyyah, Kasida ya Burudai, Swahili, al-Busiri, sufism, poetry, Kasida ya Hamziyyah, Kasida ya Burudai, ddc:496
Related Organizations
Powered by OpenAIRE Open Research Graph
Any information missing or wrong?Report an Issue