Mwingilianomatini katika tamthilia za Kiswahili: Mashetani na Kijiba cha Moyo

Article Swahili OPEN
Ngesa, Ambrose K.; Matundura, Enock; Kobia, John;
(2015)
  • Subject: Swahili Literatur; Intertextualität; Drama; Theaterstück; Ostafrika | Swahili Literatur, Intertextualität, Drama, Ostafrika | Swahili literature, intertextuality, play, East Africa
    • ddc: ddc:496

Tamthilia ya Kiswahili imedhihirisha, kwa njia moja au nyingine, uhusiano wa kimwingilianomatini. Makala haya yanadhamiria kuchunguza viwango na aina za mwingilianomatini baina ya tamthilia mbili za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Mashetani (Hussein 1971) na Kijiba cha Moy... View more
Share - Bookmark