Ishara na uashiriaji kama nyenzo ya mtindo, maana na kiwakilishi cha itikadi katika riwaya ya Nyuso za Mwanamke

Article Swahili OPEN
Wanyonyi, Mukhata Chrispinus;
(2015)
  • Subject: Said Ahmed Mohamed; Nyuso za Mwanamke; Swahili; Außereuropäische Literatur; Symbolismus; Metaphern; Ästhetik | Said Ahmed Mohamed, Nyuso za Mwanamke, Swahili Literatur, Symbolismus, Metaphern, Ästhetik | Said Ahmed Mohamed, Nyuso za Mwanamke, symbols, symbolism, aesthetics, Swahili literature
    • ddc: ddc:496

Makala haya yanachanganua ishara na uashiriaji kama mbinu ya kimtindo ya kuwasilisha maana na kukuza uhusika na maudhui katika riwaya ya Nyuso za Mwanamke (2010) ya Said Ahmed Mohamed. Nimechanganua aina tatu za ishara ambazo ni ishara bia, ishara za kaida na ishara za ... View more
Share - Bookmark