Mahojano mafupi na Lutz Diegner juu ya riwaya ya Bina-Adamu!

Article Swahili OPEN
Wamitila, Kyallo Wadi;
(2012)
  • Subject: Swahili; Außereuropäische Literatur; Kapitalismus <Motiv> | Swahili, Literatur, Bina-Adamu, Roman, Kapitalismus, Imperialismus | Swahili, literature, Bina-Adamu, novel,capitalism, imperialism
    • ddc: ddc:496

Kyallo Wadi Wamitila aliyezaliwa mwaka 1966 mjini Machakos nchini Kenya ni mwandishi anayeandika katika tanzu za ushairi, tamthilia, hadithi fupi na riwaya. Aidha, ameandika vitabu kadhaa vya watoto. Katika mahojano haya mafupi yaliyofanyika tarehe 03.11.2004 kwa njia z... View more
Share - Bookmark