Mara tena juu ya usarufishaji (suala la mwana)

Article Swahili OPEN
Gromova, Nelli V.;
(2012)
  • Subject: Swahili; Grammatik; Linguistik | Swahili, Grammatik, zusammengesetzte Substantive, Linguistik | Swahili, grammar, compound nouns, linguistics
    • ddc: ddc:496

Dhana ya usarufishaji, kama Kamusi ya Isimu na Lugha inavyoeleza, ni ubadilishaji wa neno huru ama mofimu huru yenye maana ya kisemantiki na kuifanya mofimu funge na yenye maana ya kisarufi zaidi. Tunaposema kuhusu usarufishaji, mara nyingi tunamaanisha hasa ubadi... View more
Share - Bookmark