publication . Article . 2012

Kukitandawazisha Kiswahili kupitia simu za kiganjani: tafakari kuhusu isimujamii

Mutembei, Aldin;
Open Access Swahili
  • Published: 03 Dec 2012
Abstract
Mojawapo ya matokeo ya utandawazi ni kuwapo kwa simu za kiganjani na matumizi yake. Siku hizi nchini Tanzania mawasiliano ya simu yamekuwako kwa wingi kuliko ilivyokuwa tangu wakati wa uhuru hadi katikati ya miaka ya tisini. Lugha ya Kiswahili inayotumika katika simu hizi ni ya kiutandawazi na pengine si rahisi kuiona nje ya wigo huu wa kiutandawazi ambao pia unajumuisha mawasiliano kwa barua pepe, na maongezi katika tovuti. Suala kubwa tunalolijadili katika makala hii ni changamoto zinazoletwa na lugha hii katika Isimujamii, hasa kuchanganya msimbo (lugha) na kubadili misimbo (lugha) (code mixing and code switching). Kwahiyo mwelekeo wa makala hii ni utafiti wa...
Subjects
free text keywords: Swahili; Soziolinguistik; Globalisierung; Handy; Sprachwechsel, Swahili, Soziolinguistik, Globalisierung, Handynutzung, Sprachwechsel, Swahili, sociolinguistics, globalization, mobile usage, code-mixing, code-switching, ddc:496
Powered by OpenAIRE Open Research Graph
Any information missing or wrong?Report an Issue