Usimulizi katika tamthilia za Kithaka wa Mberia

Article Swahili OPEN
Njeri Waweru, Grace;
(2017)
  • Subject: Kithaka wa Mberia; Swahili Theater; Drama; Narration; Erzählstil; Kenia | Kithaka wa Mberia, Swahili Theater, Drama, Narration, Erzählstil, Kenia | Kithaka wa Mberia, Swahili theatre, drama, plays, narration, narrative style, Kenya
    • ddc: ddc:496

Makala haya yanachunguza mtindo wa usimulizi katika tamthilia za Kithaka wa Mberia na kutoa ufafanuzi wake. Tamthilia zenyewe ni Natala (1997), Kifo Kisimani (Death at the Well, 2001) na Maua Kwenye Jua la Asubuhi (Flowers in the Morning Sun, 2004). Vipera vya usimulizi... View more
Share - Bookmark