Mahojiano na Chachage Seithy L. Chachage juu ya riwaya yake Makuadi wa Soko Huria (2002)

Article Swahili OPEN
Diegner, Lutz;
(2012)
  • Subject: Swahili; Außereuropäische Literatur; Tansania; Gesellschaft; Exil | Swahili, Literatur, Chachage, Makuadi wa Soko Huria, Tansania, Gesellschaft, Exilanten, Roman | Swahili, literature, Chachage, Makuadi wa Soko Huria, Tanzania, society, expatriates, novel
    • ddc: ddc:496

Chachage Seithy L. Chachage aliyezaliwa mwaka 1955 wilayani Njombe ni mmojawapo wa waandishi wakongwe wa riwaya ya Kiswahili. Hadi hii leo amechapisha riwaya nne. Katika mahojiano haya yaliyofanyika tarehe 30 Machi, mwaka 2004, huko Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tulitia ... View more
Share - Bookmark