Ufundishaji wa kiswahili Marekani: maendeleo na changamoto

Article Swahili OPEN
WaNjogu, John Kiarie;
(2012)
  • Subject: Swahili; Sprachunterricht; Amerika; Erwachsenenbildung; Universität; Lehrerbildung | Swahili, Sprachunterricht, Amerika, Universität, Ausbildung, Erwachsenenbildung, Lehrerbildung | Swahili, language teaching, university education, America, instrcutors training
    • ddc: ddc:496

Kiswahili ni mojawapo ya lugha za Kiafrika zinazofundishwa nchini Marekani. Baada ya Vita Baridi kuisha na kuvunjika kwa muungano wa Sovieti, Marekani ilihimiza lugha fulani zifundishwe kwa maslahi ya mahitaji yake ya kiuchumi na usalama. Kutokana na kuanzishwa kwa lugh... View more
Share - Bookmark