Habari za miti na mitishamba miongoni mwa Wamijikenda na Waswahili-matokeo ya kwanza kutoka utafiti

Article Swahili OPEN
Schulz-Burgdorf, Ulrich;
(2012)
  • Subject: Swahili; Heilpflanzen; Biodiversität; Wortschatz | Swahili, Mijikenda, Heilkräute, Biodiversität, Pflanzenvokabular | Swahili, Mijikenda, healing herbs, biodiversity, plant vocabulary
    • ddc: ddc:496

Utafiti ambao ni msingi wa habari hizo umefanywa katika miezi za Oktoba mpaka Disemba 2000 katika wilaya wa Kwale na Kilifi huko nchi ya Kenya. Wanachama wa timu ya utafiti wetu walikuwa Prof. F. Rottland, ambaye aliweka taratibu msamiati wa miti uliokusanywa, na Bw. Mo... View more
Share - Bookmark