publication . Research . 2018

Makuzi na Hatua za Maisha katika Utamaduni wa Kiswahili

Isack, Zainabu Kassu; イサク, ザイナブカッス;
Open Access Swahili
  • Published: 30 Mar 2018
  • Publisher: 大阪大学大学院言語文化研究科
Abstract
Utamaduni ni jumla ya mila, desturi na mitindo ya maisha ya watu wa jamii fulani. Utamaduni unaangalia namna watu wanavyofanya mambo yao kwa kawaida kama vile; wakati gani au nini wanakula, mavazi yao, wanasalimiana vipi, mambo ambayo ni adabu, miiko yao, mambo wanayoamini n.k. Mambo ambayo yanaweza kuutambulisha utamaduni wa watu wa jamii fulani ni mengi na anwai, kujaribu kuyazungumzia yote kwa kina na mapana yake katika makala fupi kama hii ingekuwa ni kazi isiyo na tija. Dhati ya makala hii basi, ni kuangazia kipengele kimoja tu cha utamaduni wa Kiswahili; Makuzi na Hatua za Maisha katika Utamaduni wa Kiswahili. Ufafanuzi wa kipengele hicho unakusudiwa kuwan...
Any information missing or wrong?Report an Issue