Download Results
98 research outcomes, page 1 of 10
 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Samsom, Ridder H.;

  Haji Gora Haji (1933) is a Swahili poet from Tumbatu. Some people in Zanzibar call him `The Old Hurricane´ after the title and the first poem of his anthology Kimbunga (1994 Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili) that made him well-known all over Taniania. Wh...

 • publication . Article . 2020
  Open Access Swahili
  Authors:
  Njogu, Kimani;

  Mwandishi mashuhuri na msomi mtajika wa fasihi ya Kiswahili Kennedy Waliaula Walibora aliyezaliwa mnamo Januari 6, 1965 aliaga dunia mnamo April 10, 2020. Kimani Njogu, msomi mweledi wa fasihi ya Kiswahili na mwanaharakati wa kijamii, anamwenzi Marehemu Ken Walibora aki...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Schulz-Burgdorf, Ulrich;

  Kutoka elimu ya lugha tunajua kwamba kila mtu aliyenena ana ujuzi maalum - kama John Lyons alivyoeleza katika kitabu chake Language and Linguistics (1981), katika sura kuhusu lugha na utamaduni wa wasemaji. Lyons anatueleza kwamba kila mtu hushika ujuzi huo kwa njia ya ...

 • publication . Article . 2013
  Open Access Swahili
  Authors:
  Mnenuka, Angelus;

  Kutokana na tofauti za mazingira, tabia ya nchi na hali ya hewa, binadamu wamekuwa na tamaduni zinazotofautiana na kufanana kwa viwango mbalimbali. Miongoni mwa masuala yanayotofautiana na kufanana ni majukumu yanayofanywa kwa kuzingatia misingi ya jinsi. Kutokana na um...

 • publication . Article . 2015
  Open Access Swahili
  Authors:
  Kipacha, Ahmad;

  Sifa mojawapo ya umahiri wa Shaaban Robert ni namna anavyounda katika maandiko yake taswira mbalimbali za viumbe wenye mbawa kama vile ndege wakubwa ‘wahamao’, ndege waimbao, malaika na wadudu, kwa minajili ya kuwajengea wasomaji wake motifu za upazo, ukwezi na safari. ...

 • publication . Article . 2018
  Open Access Swahili
  Authors:
  Salah, Alaa;

  In Egypt, Swahili has a prominent role as it is used in teaching, religious activities and journalism related with East African Countries. This is a sign of the good relations between Egypt and East African areas where Swahili is used. These relations are also based on ...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  H. Samsom, Ridder;

  The story of Joseph (in the Bible), Yusuf (in the Quran), has inspired literatures in many languages. This paper explores how some Swahili writers and translators have dealt with this inspiration, the implications for their language use and the way they have interpreted...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Oyori Ogechi, Nathan;

  Makala haya yanatathmini iwapo ukuzaji na uendelezaji wa Kiswahili nchini Kenya unategemea shughuli za kuiendeleza lugha hii zinazofanywa na Tanzania ama unatokana na kutegemeana baina ya mataifa haya katika kukikuza na kukiendeleza Kiswahili. Baadhi ya njia za kuiendel...

 • publication . Article . 2020
  Open Access Swahili
  Authors:
  Kahigi, Kulikoyela K.;

  Makala hii inachambua sitiari katika Kichomi, diwani ya kwanza ya marehemu Euphrase Kezilahabi. Mashairi yaliyochunguzwa yanahusika na dhamira tatu za kijumla: maana ya maisha, udhalimu wa kikoloni, na hali ya sasa ya Afrika. Mashairi yanayochambuliwa ni: “Nimechoka”, “...

 • publication . Article . 2015
  Open Access Swahili
  Authors:
  Kipacha, Ahmad;

  Tangu kuzuka kwa umiliki wa vyombo vya moto vya usafiri (mabasi, malori, pikipiki) kwa watu binafsi katika miaka ya 1990 nchini Tanzania, misemo kwa kiasi kikubwa imechupa kutoka katika majukwaa yake ya asili ya kanga, vihangaisho, vipepeo na makawa majumbani na kuhamia...

98 research outcomes, page 1 of 10