Download Results
97 research outcomes, page 1 of 10
 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Brunotti, Irene;

  This paper is a brief exploration of Zinzibar soceity in contemporary times, of how it can be read through the ngoma perfromances, music events which take place during the focal moments of the social life in the Swahili communities. It is a study of their identity const...

 • Kitabu hiki kinaleta matumaini makubwa ya kuwawezesha wengi ku-soma juu ya lugha yao na kuamsha hamasa ya kujifunza zaidi juu ya lugha hii tukufu na lugha nyingine za kiafrika.

 • other research product . Other ORP type . 2011
  Open Access Swahili
  Authors:
  Roy, Mathieu;
  Publisher: HAL CCSD

  Charles M. Mnyampala, the second son of the Tanzanian poet Mathias E. Mnyampala, speaks with me in Kiswahili about the meaning of the word 'ngonjera' in Cigogo. This word has been chosen by his father to name a new poetic genre in Kiswahili poetry.

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Samsom, Ridder H.;

  Haji Gora Haji (1933) is a Swahili poet from Tumbatu. Some people in Zanzibar call him `The Old Hurricane´ after the title and the first poem of his anthology Kimbunga (1994 Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili) that made him well-known all over Taniania. Wh...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  G. Kiango, John;

  Lugha ni chombo muhimu sana cha mawasiliano kilichoundwa na sauti za nasibu za kusemwa na kutumiwa na jamii ya utamaduni fulani. Jinsi ambavyo zipo jamii nyingi za tamaduni mbalimbali duniani, vivyo hivyo ziko lugha mbalimbali zilizoundwa kukidhi haja ya mawasiliano ya ...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Mutiso, Kineene Wa;

  Kasida ya Hamziyyah, yumkini, ndiyo tafsiri ya Kiswahili ya zamani zaidi. Kiswahili kilichotumiwa katika ukawafi huu kimechakaa sana hata maneno mengine hayatumiki tena. Hii ni kasida ambayo ni maarufu sana katika ulimwengu wa fasihi na dini ya Kiislamu na Waswahili hui...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Nabhany, Ahmed Sheikh;

  Kiswahili, one among the Bantu languages, was formerly called Kingozi, the Waswahili (as they were called by the visiting Arabs) were originally known as Wangozi. Although Western researchers have manifested great interest in Swahili language and culture, they refuse to...

 • Katika mapitio hayo, Irene Brunotti aliye Mhadhiri wa Lugha na Taaluma za Kiswahili na Mtafiti wa Chuo Kikuu cha Leipzig anausifu umakinifu wa uchambuzi wa hadhara za Kiislamu za Waswahili uliofanywa na Kai Kresse katika kitabu chake. Anatoa hoja mbalimbali za kusisitiz...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Elisamia Mrikaria, Steven;

  Over 50 years ago, Marshall McLuhan (2003), a specialist in communication issues, said that the world is becoming smaller and smaller every starting day, a result of the emergence of modern communication around the world. This situation has given birth to the conept `ne...

 • publication . Article . 2020
  Open Access Swahili
  Authors:
  Mutembei, Aldin;

  Steven I. Y. E. Mrikaria, Mhadhiri wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aliyezaliwa mnamo Disemba 9, 1963, ameaga dunia mnamo Januari 17, 2018. Aldin K. Mutembei aliye msomi mweledi na mwanaharakati mashuhuri wa lugha na fasihi ya Kiswahili...

97 research outcomes, page 1 of 10