Download Results
91 research outcomes, page 1 of 10
 • publication . Article . 2015
  Open Access Swahili
  Authors:
  Ngesa, Ambrose K.; Matundura, Enock; Kobia, John;

  Tamthilia ya Kiswahili imedhihirisha, kwa njia moja au nyingine, uhusiano wa kimwingilianomatini. Makala haya yanadhamiria kuchunguza viwango na aina za mwingilianomatini baina ya tamthilia mbili za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Mashetani (Hussein 1971) na Kijiba cha Moy...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Elisamia Mrikaria, Steven;

  Over 50 years ago, Marshall McLuhan (2003), a specialist in communication issues, said that the world is becoming smaller and smaller every starting day, a result of the emergence of modern communication around the world. This situation has given birth to the conept `ne...

 • publication . Research . 2017
  Open Access Swahili
  Authors:
  Takemura, Keiko; 竹村, 景子; タケムラ, ケイコ;
  Publisher: 大阪大学大学院言語文化研究科 スワヒリ語研究室

  研究ノート・資料

 • publication . Article . 2020
  Open Access Swahili
  Authors:
  Mutembei, Aldin;

  Steven I. Y. E. Mrikaria, Mhadhiri wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aliyezaliwa mnamo Disemba 9, 1963, ameaga dunia mnamo Januari 17, 2018. Aldin K. Mutembei aliye msomi mweledi na mwanaharakati mashuhuri wa lugha na fasihi ya Kiswahili...

 • publication . Article . 2015
  Open Access Swahili
  Authors:
  Paul, Jean-Luc;
  Publisher: HAL CCSD

  International audience

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  Waliaula, Ken Walibora;

  Je, kuna uhusiano gani kati ya Euphrase Kezilahabi wa Tanzania na Gabriel García Marquez wa Kolombia, au kati ya Kyallo Wadi Wamitila wa Kenya na Juan Rulfo wa Meksiko ama kati ya Günter Grass wa Ujerumani na Said Ahmed Mohamed wa Zanzibar? Waandishi hawa waliotengwa ki...

 • publication . Article . 2018
  Open Access Swahili
  Authors:
  Lei, Zhao;

  Kuanzia mwaka 1964 hadi 1993, idara ya Kiswahili katika Shirika la Uchapishaji wa Lugha za Kigeni ilitafsiri na kuchapisha jumla ya vitabu 258 vya Kichina kwenda Kiswahili huku wasomi wa Kiswahili walitafsiri vitabu 26 vya Kiswahili kwa Kichina. Kwa kulinganisha idadi n...

 • publication . Doctoral thesis . 2000
  Open Access Swahili
  Authors:
  AGGREY WERE-MWARO, GEORGE;
  Publisher: HAL CCSD

  This thesis was on the 'Scientificity" of Swahili linguistic terminology and methods used in word coinage so that we can determine reasons for their acceptability. The principal objective of the thesis was to evaluate scientificity in methods or approaches used in Kiswa...

 • publication . Article . 2012
  Open Access Swahili
  Authors:
  WaNjogu, John Kiarie;

  Kiswahili ni mojawapo ya lugha za Kiafrika zinazofundishwa nchini Marekani. Baada ya Vita Baridi kuisha na kuvunjika kwa muungano wa Sovieti, Marekani ilihimiza lugha fulani zifundishwe kwa maslahi ya mahitaji yake ya kiuchumi na usalama. Kutokana na kuanzishwa kwa lugh...

 • publication . Article . 2017
  Open Access Swahili
  Authors:
  Odoyo Okal, Benard; Indede, Florence; Sangai Mohochi, Ernest;

  Hiponimia ni uhusiano wa kifahiwa unaodhihirika baina ya leksimu ya jumla (hipanimu) na mahususi (hiponimu). Kama vile hipanimu mzazi hujumuisha hiponimu baba na mama. Uhusiano huu wa kihiponimia ulidhukuriwa na wanaisimu wa awali kuwa unahusisha leksimu nomino pekee. H...

91 research outcomes, page 1 of 10
Last index information