Language:Swahili
(CSV)
Filter By:
 • Publication Date (10)
 • Access Mode (2)
 • Type (5)
 • Language (1)
 • Content Provider (12)
 • Collected From (12)
Language:Swahili
(CSV)
 • Publication Date (10)
 • Access Mode (2)
 • Type (5)
 • Language (1)
 • Content Provider (12)
 • Collected From (12)
Results per page: Sort by:
87 publications, page 5 of 9
 • Article Swahili OPEN
  Kipacha, Ahmad;
  (2015)
  Tangu kuzuka kwa umiliki wa vyombo vya moto vya usafiri (mabasi, malori, pikipiki) kwa watu binafsi katika miaka ya 1990 nchini Tanzania, misemo kwa kiasi kikubwa imechupa kutoka katika majukwaa yake ya asili ya kanga, vihangaisho, vipepeo na makawa majumbani na kuhamia...
 • Article Swahili OPEN
  Schulz-Burgdorf, Ulrich;
  (2012)
  Kutoka elimu ya lugha tunajua kwamba kila mtu aliyenena ana ujuzi maalum - kama John Lyons alivyoeleza katika kitabu chake Language and Linguistics (1981), katika sura kuhusu lugha na utamaduni wa wasemaji. Lyons anatueleza kwamba kila mtu hushika ujuzi huo kwa njia ya ...
 • Research Swahili OPEN
  Takemura, Keiko;
  (2016)
  研究ノート・資料
 • Article Swahili OPEN
  Mnenuka, Angelus;
  (2013)
  Kutokana na tofauti za mazingira, tabia ya nchi na hali ya hewa, binadamu wamekuwa na tamaduni zinazotofautiana na kufanana kwa viwango mbalimbali. Miongoni mwa masuala yanayotofautiana na kufanana ni majukumu yanayofanywa kwa kuzingatia misingi ya jinsi. Kutokana na um...
 • Article Swahili OPEN
  Mutiso, Kineene Wa;
  (2012)
  Kasida ya Hamziyyah, yumkini, ndiyo tafsiri ya Kiswahili ya zamani zaidi. Kiswahili kilichotumiwa katika ukawafi huu kimechakaa sana hata maneno mengine hayatumiki tena. Hii ni kasida ambayo ni maarufu sana katika ulimwengu wa fasihi na dini ya Kiislamu na Wasw...
 • Article Swahili OPEN
  Kihore, Yared M.;
  (2012)
  Sarufi inafafanuliwa kama kanuni, sheria au taratibu zinazotawala katika viwango vyote vya uchambuzi wa lugha ambavyo ni umbosauti (au fonolojia), umboneno (au mofolojia), miundomaneno (au sintaksia) na umbomaana (au semantiki). Kuhusiana na masuala ya tafsiri, kanuni m...
 • Article Swahili OPEN
  Kipacha, Ahmad;
  (2017)
  This paper analyses signs of ill-omen in the selected literary Swahili prose of Euphrase Kezilahabi published between 1971-1991. We interrogate their indicative interpretation as foregrounded by the author. We shall specifically concentrate on how he artistically exploi...
 • Article Swahili OPEN
  Ogechi, Nathan Oyori;
  The present article attempts to analyse the effects of Kiswahili curricula changes in Kenya on Kiswahili authorship and publishing since 1963. The bottomline of the argument is that any changes on the educational curriculum affecting Kiswahili has a corresponding effect...
 • Article Swahili OPEN
  Mkufya, William E.;
  (2012)
  William E. Mkufya aliyezaliwa mwaka 1953 wilayani Lushoto, Tanga, nchini Tanzania ni mmojawapo wa waandishi wakongwa wa riwaya ya Kiswahili. Hadi hii leo amechapisha riwaya nne. Aidha, ameandika vitabu kumi na viwili vya watoto na kutafsiri baadhi ya vitabu, kama vile r...
 • Article Swahili OPEN
  Wa Mutiso, Kineene;
  (2012)
  Katika makala hii nitazungumzia tarehe na kazi za al-Busiri mshairi wa kisufii maarufu katika fasihi ya kiislamu na ambaye baadhi ya kazi zake zimetarjumiwa kwa Kiswahili. Mojawapo ya kazi hizi ni Kasida ya Hamziyyah, ambayo ni maarufu sana hususa kwa Kiswahili cha zama...
Results per page: Sort by:
87 publications, page 5 of 9
Last index information