Language:Swahili
(CSV)
Filter By:
 • Publication Date (10)
 • Access Mode (2)
 • Type (5)
 • Language (1)
 • Content Provider (12)
 • Collected From (12)
Language:Swahili
(CSV)
 • Publication Date (10)
 • Access Mode (2)
 • Type (5)
 • Language (1)
 • Content Provider (12)
 • Collected From (12)
Results per page: Sort by:
87 publications, page 2 of 9
 • Article Swahili OPEN
  G. Kiango, John;
  (2012)
  Lugha ni chombo muhimu sana cha mawasiliano kilichoundwa na sauti za nasibu za kusemwa na kutumiwa na jamii ya utamaduni fulani. Jinsi ambavyo zipo jamii nyingi za tamaduni mbalimbali duniani, vivyo hivyo ziko lugha mbalimbali zilizoundwa kukidhi haja ya mawasiliano ya ...
 • Research Swahili OPEN
  Takemura, Keiko; 竹村, 景子; タケムラ, ケイコ;
  (2018)
  研究ノート・資料
 • Article Swahili OPEN
  Samsom, Ridder H.;
  (2012)
  Haji Gora Haji (1933) is a Swahili poet from Tumbatu. Some people in Zanzibar call him `The Old Hurricane´ after the title and the first poem of his anthology Kimbunga (1994 Dar es Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili) that made him well-known all over Taniania. Wh...
 • Article Swahili OPEN
  Mbatha Mathooko, Petronilla;
  (2012)
  Makala hii inachunguza hali ya somo la isimu ya lugha linalofundishwa katika nyingi ya idara za Kiswahili vyuoni vikuu nchini Kenya. Inaangazia matatizo yanayotinga kufana kwa somo hili. Inahitimiza kwa kupendekeza kwamba iwapo matokeo mazuri yatapatikana na wanafunzi w...
 • Article Swahili OPEN
  Nabhany, Ahmed Sheikh;
  (2012)
  Kiswahili, one among the Bantu languages, was formerly called Kingozi, the Waswahili (as they were called by the visiting Arabs) were originally known as Wangozi. Although Western researchers have manifested great interest in Swahili language and culture, they refuse to...
 • Article Swahili OPEN
  Kipacha, Ahmad;
  (2015)
  Tangu kuzuka kwa umiliki wa vyombo vya moto vya usafiri (mabasi, malori, pikipiki) kwa watu binafsi katika miaka ya 1990 nchini Tanzania, misemo kwa kiasi kikubwa imechupa kutoka katika majukwaa yake ya asili ya kanga, vihangaisho, vipepeo na makawa majumbani na kuhamia...
 • Article Swahili OPEN
  Schulz-Burgdorf, Ulrich;
  (2012)
  Kutoka elimu ya lugha tunajua kwamba kila mtu aliyenena ana ujuzi maalum - kama John Lyons alivyoeleza katika kitabu chake Language and Linguistics (1981), katika sura kuhusu lugha na utamaduni wa wasemaji. Lyons anatueleza kwamba kila mtu hushika ujuzi huo kwa njia ya ...
 • Research Swahili OPEN
  Takemura, Keiko;
  (2016)
  研究ノート・資料
 • Article Swahili OPEN
  Mnenuka, Angelus;
  (2013)
  Kutokana na tofauti za mazingira, tabia ya nchi na hali ya hewa, binadamu wamekuwa na tamaduni zinazotofautiana na kufanana kwa viwango mbalimbali. Miongoni mwa masuala yanayotofautiana na kufanana ni majukumu yanayofanywa kwa kuzingatia misingi ya jinsi. Kutokana na um...
 • Article Swahili OPEN
  Mutiso, Kineene Wa;
  (2012)
  Kasida ya Hamziyyah, yumkini, ndiyo tafsiri ya Kiswahili ya zamani zaidi. Kiswahili kilichotumiwa katika ukawafi huu kimechakaa sana hata maneno mengine hayatumiki tena. Hii ni kasida ambayo ni maarufu sana katika ulimwengu wa fasihi na dini ya Kiislamu na Wasw...
Results per page: Sort by:
87 publications, page 2 of 9
Last index information